Kifungu cha 203, 205(1) na (2) cha kanuni ya adhabu sura ya 16.
Kwa mujibu wa vifungu hivyo hapo juu, kusababisha kifo si lazima kifo kitokee ndani ya siku ya tukio lililosababisha kifo cha mtu ili mtuhumiwa kushtakiwa kwa mauaji.
Ukimjeruhi MTU, na AKAFARIKI ndani ya siku uliyomjeruhi au ndani ya kipindi cha mwaka mmoja na siku moja, na sababu za kifo chake zikawa ni majeraha aliyosababishiwa au tendo lolote alilofanyiwa kinyume cha sheria, basi mtenda kosa atahesabiwa kuwa ameua.
Imeandikwa na mwanasheria
Johnson Yesaya Mgelwa @yesayajm_
0758218269 na 0628729934