Type Here to Get Search Results !

PATA MSAADA WA KISHERIA KUTOKA KWA STAFF WA SHIRIKA LA MAPAO KWA URAHISI HAPA

 

Shirika la kudhihirisha uzalendo (MAPAO) linalofanya shughuli zake wilayani Makete Mkoani Njombe na kwa sasa Linaweza kufany shughuli zake hata nje ya wilaya ya Makete,tunajjivunia kuwa na team ya watumishi wenye uzalendo na wilaya yao pamoja ana Tanzania kwani shughuli zinazofanywa na shirika ni kuwasaidia wananchi bila malipo.

Leo fahamu kuhusu wasaidizi wa msaada wa kisheria tulionao wilayani Makete kwa kutazama list hii au download PDF kupata msaada kisheria.

NB! Mawasiliano yaliyowekwa ni kwa kuhitaji msaada kisheria na si vingine hatua kali za kisheria zitachukuliwa kwa yeyote atakaye tumia namnaa hizo kinyume na kusudio la Shirika,kuwepo kwa mawasiliano ni kurahisisha huduma kwa wananchi. Ahsante.

au unaweza DOWNLOAD PDF hapa   MAPAO LIST>>>>


Post a Comment

0 Comments

Top Post Ad

Below Post Ad