Type Here to Get Search Results !

SHIRIKA LA KUDHIHIRISHA UZALENDO MAPAO LATOA TAARIFA HII KWA UMMA.

Shirika la kudhihirisha uzalendo MAPAO limetoa taarifa ya utekelezaji wa shughuli zilifanywa na MAPAO kupitia mradi wa huduma ya msaada wa kisheria katika mkutano wa pamoja wa wadau wa masuala ya ardhi ulioandaliwa na shirika la MIICO tarehe 4 april 2022.
Mch Denis Sinene Mkurugenzi wa shirika la kudhihirisha uzalendo MAPAO

Katika Taarifa iliyotolewa kwa Umma na Mch Denis Sinene Mkurugenzi wa shirika hilo amesema baadhi ya mafanikio waliyoyapata ni pamoja na 

  1. Jamii inaendelea  kuongeza uelewa katika masuala ya ardhi 

  2. Kupungua kwa migogoro mbalimbali katika jamii, mabaraza ya kata na hata mahakamani

  3. Baadhi ya vijiji kuwa na mpango bora wa matumizi ya ardhi kutokana na elimu inayo zidi kutolewa kupitia mashirika mbalimbali na shirika la MIICO linalo fanya kazi katika wilaya ya Makete.

PAKUA/DOWNLOAD taarifa hii >> TAARIFA DOC

Post a Comment

1 Comments
  1. Nawapongeza kwa Nazi nzuri mnayofanya kuisaidia jamii,hakika kujitolea ni kazi ngumu Mungu awatie Nguvu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad