Type Here to Get Search Results !

KUTOA TAARIFA ZA UONGO MTANDAONI JELA MIAKA 3 AU FAINI MILIONI 5.

KWA MUJIBU wa sheria ya makosa ya mtandao ya mwaka 2015 kifungu cha 16.

Kuweka katika mtandao au mfumo wa kompyuta taarifa zozote kwa njia ya picha, maneno, au alama, na kwa makusudi kwa lengo la kuudhi, kuchafua au kukashifu mtu mwingine ni kosa na mtu anapokutwa na hatia ya kosa hilo ADHABU yake ni kifungo kisichopungua miaka 3 au ADHABU ya kulipa faini isiyopungua milioni 5 au vyote kwa pamoja.

JE! Una swali lolote kuhusu masuala ya sheria,unahitaji msaada wa kisheria ,sisi tuko tayari kukusaidia.wasiliana nasi katika box la mawasiliano katika amtandao huu.

Tags

Post a Comment

0 Comments

Top Post Ad

Below Post Ad